Thursday 18 August 2016

RIO 2016: ELAINE THOMPSON ASHINDA MBIO ZA 200M


Jamaica yaibuka tena na medani nyingine na sasa ni mbio za mita 200 wanawake...Elaine Thompson ameshinda mbio za mita 200 kwa kuwashinda bingwa Dafne Shippers kutoka Netherlands na Tori Bowie kutoka USA...Thompson alitumia mida wa sekunde 21:78 na Tori Bowie alitumia muda wa sekunde 22:15...Thompson amesema amefurahi sasa jina lake liko juu pamoja na wenzake kutoka Jamaica Shelly-Ann Pryce na Veronica Campbell-Brown...Bofya hapa upate haabri zaidi.

No comments:

Post a Comment