Sunday 14 August 2016

RIO 2016: AYANA AVUNJA REKODI YA DUNIA YA MITA 10,000


Almaz Ayana kutoka Ethiopia amevunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 10,000...Ayana alitumia muda wa dakika 29 na sekunde 17:45...Vivian Cheruiyot kutoka Kenya alimaliza wa 2...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment