Tuesday 16 August 2016

EPL: CHELSEA WAIFUNGA WEST HAM MWISHONI KABISA


Chelsea imefanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya msimu kwa kuwachapa West Ham Unites 2-1...Antonio Conte amepata ushinda wake wa kwanza kwa kushangilia sana na mashabiki wake...Diego Costa ndio aliyeinua mashabiki kwenye viti mwishoni kabisa dakika ya 89 na kuipa ushindi Chelsea...


Bao la kwanza lilitoka kwa Hazard kwenye tuta dakika ya 47 na West Ham wakasawazisha kipindi hicho cha 2 dakika ya 77 kupitia Collins...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment