Friday 12 August 2016

MANCHESTER UNITED: POGBA HATOCHEZA MECHI YA KWANZA


Kifaa hatari cha Manchester United Paul Pogba hatocheza mechi ya kwanza ya msimu mpya...Kisa cha yeye kuto cheza ni kufungiwa kutokana na adhabu ambayo alipewa akiwa Juventus...Mashabiki walikuwa na hamu ya kumwona mechi ya kwanza lakini ndio hivyo tena...Manchester United itakutana na Bournemouth Jumapili ijayo...Pogba anaweza kucheza tarehe 22 August dhidi ya Southampton...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment