Thursday 18 August 2016

SPANISH SUPER CUP: BARCELONA MABINGWA WA SUPER CUP BAADA YA KUWACHAPA SEVILLA 3-0


Barcelona imefanikiwa kuwa mabingwa tena Spain baada ya kuwachapa Sevilla 3-0...Arda Turan alipachika bao 2 na Lionel Messi bao 1 na kushinda Super Cup kwa aggragate ya 5-0...Mapema dakika ya 10 midfielder kutoka Turkey Turan alitingisha wavu...Claudio Bravo ambae anaenda Manchester City muda si mrefu alifanikiwa kupangua penalty Vicente Iborra...


Turan tena baada ya mapumziko alitingisha nyavu kabla ya Messi kupachika bao la kichwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment