Friday 12 August 2016

RIO 2016: PHLEPS AENDELEA KUSHINDA


Michael Phelps amshinda tena na sasa ana jumla ya medani 22...Ameweka rekodi ya kuwa swimmer wa kwanza kushinda medani za dhahabu 4 katika event 1...Phelps alifanikiwa kumchapa Ryan Lochte katika mita 200 medley ya pekee...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment