Monday 29 August 2016

VPL: HARUNA SHAMTE AIPAISHA MBEYA CITY JUU YA LIGI


Bao la mapema kabisa kutoka kwa Haruna Shamte ilimeipa ushindi Mbeya City dhidi ya Toto Africans ndani ya CCM Kirumba Mwanza...Mbeya City sasa inapoints 4 sawa na Azam na Simba sema wanatofautiana mabao ya kufunga...Azam wanaongoza kwa mabao wakifuatiwa na Simba alafu Mbeya City...Mechi ilianza kwa Mbeya City kushambulia sana na karibu wapate bao kutoka kwa Shamte dakika ya 5 lakini badae kidogo huyo beki wa zamani wa Simba alipachika bao kuitia free-kick hatari kabisa...Kipindi cha 2 walikuwa wanapimana nguvu lakini mwisho Mbeya City iliibuka na points.

No comments:

Post a Comment