Wednesday 17 August 2016

RIO 2016: GENZEBE DIBABA ASEMA YEYE NI MSAFI SANA MITHILI YA GLASS ZA MVINYO


Genzebe Dibaba mshindi wa 2 katika mbio za mita 1,500 akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu kukamatea wa kocha wake huko Spain na kuwekwa ndani siku taku kwasababu ya kusambaza madawa ya kuongeza nguvu amesema yeye ni msafi sana mithili ya glass ya mvinyo...Kocha huyo, Jama Aden, ameachiwa huru lakini bado uchunguzi unaendelea na haruhusiwi kutoka Spain...Dibaba amesema uvumi kuwa anatumia madawa unamsumbia sana kisaikolojia na kuwa aliwasiliana na kocha huyo kupata ushauri wa kitaalam tu...Bofya hapa upate bahari zaidi.

No comments:

Post a Comment