Tuesday 16 August 2016

RIO 2016: JEMIMA SUMGONG KUTOKA KENYA ACHUKUA DHAHABU YA MARATHON


Jemima Sungong amekuwa mwanariadha wa kwanza kutoka Kenya kushinda medani ya dhahabu...Sumgong alimshinda Eunice Kirwa kutoka Bahrain...Bingwa wa Ethiopia Mare Dibaba alimaliza nafasi ya 3...Sumgong aliwahi kushinda London Marathon alitumia muda wa saa 2 na dakika 24 sekunde 4...Safi sana Sumgong na hongera kwa kuweka historia huko Rio.

No comments:

Post a Comment