Wednesday 17 August 2016

RIO 2016: OMAR MCLEOD AWEKA HISTORIA YA KUWA MTU WA KWANZA KUTOKA JAMAICA KUSHINDA MBIO ZA VIHUNZI ZA 110M


Omar McLeod kutoka Jamaica ameshinda mbio za mita 110 za vihunzi na kuwa mtu wa kwanza kutoka Jamaica kushinda mbio hizo...Aliwapita Orlando Ortega mzaliwa wa Cuba lakini anatokea Spain na Dimitri Bascou kutoka France...McLeod alitumia muda wa sekunde 13:05...Mkali mwingine Devon Allen alimaliza mbio hizo nafasi ya 5...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment