Monday 15 August 2016

RIO 2016: USAIN BOLT AWEKA HISTORIA MBIO ZA 100M


Usain Bolt kutoka Jamaica ameshinda mbio za mita 100 na kuweka historia ndani ya Brazil...Bolt alikimbia kwa muda wa sekunde 9:81 na kuwapita Justin Gatlin kutoka USA na Andre de Grasse amechukua nafasu ya 3...


Bolt ameweka historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medani za dhahabu 3 katika mbio za mita 100...


Gatlin aliwahi kutoka kwenye blocks lakini ilipifika katikati ya mb io Bolt alichomoka fasta na kumpita Gatlin na kushinda mbio hizo...


Wakati wanamtangaza Justin Gatlin mashabiki walimzomea sana kutokana na utumiaji wa madawa miaka ya nyuma...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment