Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Gold. Show all posts
Showing posts with label Gold. Show all posts
Monday, 30 January 2023
Wednesday, 3 August 2022
Thursday, 14 July 2022
Wednesday, 16 February 2022
Friday, 11 February 2022
Wednesday, 9 February 2022
Tuesday, 14 December 2021
Monday, 15 August 2016
RIO 2016: USAIN BOLT AWEKA HISTORIA MBIO ZA 100M
Usain Bolt kutoka Jamaica ameshinda mbio za mita 100 na kuweka historia ndani ya Brazil...Bolt alikimbia kwa muda wa sekunde 9:81 na kuwapita Justin Gatlin kutoka USA na Andre de Grasse amechukua nafasu ya 3...
Bolt ameweka historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medani za dhahabu 3 katika mbio za mita 100...
Gatlin aliwahi kutoka kwenye blocks lakini ilipifika katikati ya mb io Bolt alichomoka fasta na kumpita Gatlin na kushinda mbio hizo...
Wakati wanamtangaza Justin Gatlin mashabiki walimzomea sana kutokana na utumiaji wa madawa miaka ya nyuma...Bofya hapa upate habari zaidi.
Friday, 12 August 2016
Thursday, 11 August 2016
Sunday, 10 April 2016
BOXING: ANTHONY JOSHUA AMTANDIKA CHARLES MARTIN ROUND YA 2 NA KUNYAKUA UBINGWA WA IBF
Anthony Joshua kutoka England amekuwa bingwa wa heavyweight wa mkanda wa IBF baada ya kumchapa Marekani Charles Martin...Martin alikula jabs na makonde yakutosha hasa ya kulia na refa kusitiaha pambano round ya 2 baada ya kuona anaumia...
Joshua ni bingwa wa ndondi za Olympics na sasa kwa mara ya kwanza anakuwa bingwa wa heavyweight...
Joshua ni kati ya watu 3 duniani ambao baada ya kuwa bingwa wa Olympics anakuwa bingwa wa heavyweight...Wengine ni Muhammad Ali na Leon Spinks...Mwaka 1960 Ali alikuwa bingwa wa Olympics na mwaka 1964 akamtandika Sonny Liston na kuwa bingwa wa heavyweight...
Mwaka 1976 Leon Spinks Alipata dhahabu ya Olympics na badae mwaka 1978 alimchapa Ali...Huko mbeleni sasa inaonekana kama Joshua atakutana na bingwa mwingine wa Uingereza Tyson Fury...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)








