Thursday 11 August 2016

LEICESTER CITY FC: GABIGOL WA SANTOS ANASAKWA NA LEICESTER


Leicester City wameweka dau kwa striker wa Santos Gabriel Barbosa...Wametoa offer ya 23 milioni pounds kumchukua Gabigol kutoka Santos...Huyu dogo mwenye umri wa miaka 19 anasakwa na Barcelona, Inter Milan na Juventus...Kwa sasa dogo yuko kwenye Olympics za Rio anawakilisha...Ranieri akimpata ataongeza sana nguvu mbele kwani kuna Jamie Vardy na Shinji Okazaki ambao ni hatari sana...Bofya hapa upate hahari zaidi.

No comments:

Post a Comment