Thursday 11 August 2016

CRICKET: CAPTAIN WA ZAMANI WA PAKISTAN HANIF MOHAMMAD AMEFARIKI DUNIA


Hanif Mohammad amefariki akiwa Karachi kutokana na matatizo ya kifua...Captain huyo wa timu ya taifa ya Cricket ya Pakistan amefariki akiwa na miaka 81...Jina lake maarufu sana lilikuwa 'Little Master' na huyo ndio original 'little master'...Amefariki akiwa na rekodi yake ya test innings ndefu kulizo zote ya masaa 16...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment