Tuesday 16 August 2016

RIO 2016: SHAUNAE MILLER AKONGA NYOYO ZA WATU BAADA YA KUANGUKA MWISHONI NA KUSHINDA MBIO ZA 400M


Shaunae Miller kutoka Bahamas ameshinda medani ya dhahabu katika mbio ambazo zilikuwa na ushindani mkubwa sana....Miller alifanikiwa kushinda baada ya kuanguka mwishoni kabisa...Katika hali ambayo sio ya kawaida Miller alikuwa anataka ushindi sana na alivyoanguka aliangukia mbele kwa kunyoosha mikono...


Miller alimshinda bingwa wa mbio Allyson Felix kwa kutumia muda wa sekunde 49:44...Felix ambae amewahi kushinda medani 4 za dhahabu alitumia muda wa sekunde 49:51...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment