Saturday 20 August 2016

RIO 2016: CHERUIYOT KUTOKA KENYA AMSHINDA AYANA KUTOKA ETHIOPIA KATIKA MBIO ZA 5,000M


Vivian Cheruiyot amemshinda bingwa wa mita 10,000 Ayana Almaz katika mbio za mita 5,000...


Ayana alikuwa anategemewa kushinda mbio hizo.

Katika mbio hizo Ayana alipitwa walipofika mita 2,000 na Cheruiyot na mwenzake kutoka Kenya Hellen Onsando.

Hellen Onsando alimaliza wa 2 na Ayana wa 3.

Cheruiyot aliweka rekodi mpya katik mbio hizo za mita 5,000...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment