Saturday 20 August 2016

RIO 2016: USAIN BOLT AWEKA HISTORIA MPYA YA RIADHA NDANI YA RIO OLYMPICS


Usain Bolt kutoka Jamaica amechukua dhahabu ya 9 na kuweka historia kwa kuchukua dhahabu ya 200m mara 3 'triple triple'...Amekuwa mtu wa pekee kushinda mbio 3 katika Olympics 3 tofauti...Mbio ya mwisho ilikuwa 4x100 relay akiwa na wenzake Asafa Powell, Yohan Blake na Nickel Ashmeade...


Team ya Japan walipata Silver na Bronze ilienda kwa Canada...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment