Showing posts with label Elaine Thompson. Show all posts
Showing posts with label Elaine Thompson. Show all posts

Thursday, 18 August 2016

RIO 2016: ELAINE THOMPSON ASHINDA MBIO ZA 200M


Jamaica yaibuka tena na medani nyingine na sasa ni mbio za mita 200 wanawake...Elaine Thompson ameshinda mbio za mita 200 kwa kuwashinda bingwa Dafne Shippers kutoka Netherlands na Tori Bowie kutoka USA...Thompson alitumia mida wa sekunde 21:78 na Tori Bowie alitumia muda wa sekunde 22:15...Thompson amesema amefurahi sasa jina lake liko juu pamoja na wenzake kutoka Jamaica Shelly-Ann Pryce na Veronica Campbell-Brown...Bofya hapa upate haabri zaidi.

Monday, 15 August 2016

RIO 2016: ELAINRE THOMPSON KUTOKA JAMAICA ASHINDA 100M


Elaine Thompson amenyakua gold ya mita 100 kwa kuwashinda Tori Bowie kutoka USA na bingwa mara 2 Shelly-Ann Fraser...Muda aliyeumia Thompson ni 10.71...Fraser amesema amefurahi kuwa dhahabu imebakia Jamaica...Bofya hapa upate habari zaidi.