Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Showing posts with label Red Devil's. Show all posts
Showing posts with label Red Devil's. Show all posts
Thursday, 15 June 2017
Saturday, 20 August 2016
EPL: MANCHESTER UNITED YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-0
Bao la kwanza lilikuja mnamo dakika ya 36 na bao la 2 dakika ya 56 kupitia tuta...Sasa Manchester United wanaongoza ligi waliwa na points 6...Pogba alicheza mechi yake ya kwanza kabisa toka anunuliwe kwa bei mbaya sana...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 1 August 2016
Sunday, 10 July 2016
MANCHESTER UNITED: JUVE WANAMTAKA MEMPHIS DEPAY
Memphis Depay ameshindwa kuwuwika ndani ya Old Trafford lakini Juventus wanamfukuzia sana...Depay mwenye umri wa miaka 22 alingia Red Devil's kwa £25 milioni kutoka PSV Eindhoven...Tetesi kutoka gazeti la jioni la Manchester, Manchester Evening News, limesema Mourinho anataka kumchukua Julian Draxler kuchukua nafasi ya Depay...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)


