Sunday 10 July 2016

MANCHESTER UNITED: JUVE WANAMTAKA MEMPHIS DEPAY


Memphis Depay ameshindwa kuwuwika ndani ya Old Trafford lakini Juventus wanamfukuzia sana...Depay mwenye umri wa miaka 22 alingia Red Devil's kwa £25 milioni kutoka PSV Eindhoven...Tetesi kutoka gazeti la jioni la Manchester, Manchester Evening News, limesema Mourinho anataka kumchukua Julian Draxler kuchukua nafasi ya Depay...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment