Sunday 3 July 2016

F1: HAMILTON AMESHINDA AUSTIAN GP KWA MARA YA KWANZA KWA USHINDANI MKUBWA


Lewis HamiltonLewis Hamilton ameshinda Austrian GP baada ya kuchuana sana na Nico Rosberg mpaka Rosberg akamgonga mwenzake na kuharibu gari yake...



Roseburg alikosea na kupitwa na Hamilton lap ya mwisho na wakati anapitwa alimsukuma na kumgonga Hamilton lakini yeye ndio aliyeumia...Max Verstappen aliwapita Rosberg na Kimmi Raikonnen nafasi ya 3...



Katokana na kosa alilofanya Rosberg amepewa penalty ya kupunguziwa points 2 na penalty ya dakika 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment