BARCELONA FC: ANDRE GOMES NDANI YA BARCA KWA MKATABA WA POUNDS MILIONI 41.7
Portugal International Adre Gomes amekuwa kifaa cha 4 Barcelona wamechukua kipindi hichi cha usajili...Gomes ambae anamiaka 22 na ni attacking midfielder dau lake ni milioni 41.7...Gomes alitokea Benfika kuingia Valencia na huko aliwika kwa misimu 2...
No comments:
Post a Comment