Friday 1 July 2016

NEYMAR: RAIS WA BARCELONA JOSEP BARTOMEU ASEMA NEYMAR ATABAKIA BARCELONA


Kifaa ya Barcelona, Neymar Jr, atabakia Barcelona...Rais wa Barca Josep Bartomeu amesema Neymar anataka kukaa Barcelona na siku chache zijazi tutamaliza masuala ya mkataba wake...Tetesi zilikuwa nyingi na kati ya hizi ni Manchester United na Paris Saint Germain walikuwa wanamtaka...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment