Sunday 24 July 2016

NATIONAL RALLY CHAMPIONSHIP: GULJIT DHANI WA MOSHI YUKO TAYARI KUPAMBANA ARUSHA


Guljit Dhani amesema baada ya kuanza vizuri mwanzoni alishindwa kumaliza mashindano mawili kutokana na gari yake ya Subaru GBV kuharibika na hiyo imesababisha kumrudisha nyumalakini sasa yuko tayari kupambana....Amesena yeye na timu ya Harri Singh, Ajmendar na Rajpar Dhani wako tayari baada ya kukarabati gari vizuri kabisa...Guljit ni wa 5 kwa points chini ya Jamal Khan, Randeep Birdi, Gurpal Sandhu na Dharam Pandya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment