Sunday 31 July 2016

F1: LEWIS HAMILTON AMESHINDA GERMAN GRAND PRIX


Lewis Hamilton ameshinda German Grand Prix...Hamilton alianza wa 2 kwenye grid lakini aliweza kuanza vizuri na kumpita Nico Rosberg kanla ya corner ya kwanza...Hamilton aliongoza mwanzo mwisho...


Rosberg alipitwa na Red Bull wawili na badae akapewa penalty ya sekunde 5 kwa kumsukuma dereva mwingine...Ni mara ya 3 Hamilton anashinda nchini Germany na amemfikia nyota marehemu Aryton Senna...



Ricciardo na Max Verstapen wa Red Bull wamechukua nafasi ya 2 na 3...Ni GP ya 100 kwa Ricciardo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment