Tuesday 12 July 2016

MANCHESTER UNITED: MAN UNITED WANAMZENGEA DOGO REECE OXFORD WA WEST HAM


Manchester United bado wanataka kusheheni kikosi na sasa wametuma scouts kwenda kumcheki dogo Reece Oxford mwenye umri wa miaka 17 anaendeleaje...Oxford aliwika game ya ambayo West Ham walicheza na Arsenal mwanzo wa msimu uliopita...Reece atacheza mechi ya European championship U-19 Germany Ijumaa ijayo...Manchester United wamemtolea macho dogo kwa muda mrefu na walianza kumuulizia mida...


Dogo anaweza kucheza center half na midfield pia yuko sawa sawa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment