Saturday 2 July 2016

WIMBLEDON 2016: WILLIAMS WAPONEA WIMBLEDON


Bingwa mtetezi Serena Williams na dada yake Venus karibu waage michuano mikali ya Wimbledon...Serena alikuwa nyuma 2-0 na hasira zikazidi akaamua kupeleka hasira hizo kwenye racket yake na kuibamiza mara kibao chini...


Serena alifanikiwa kushinda 6-7 (7) 6-2 6-4 dhidi ya Christina McHale...


Venus nae alishinda 7-5 4-6 10-8 dhidi ya dogo Daria Kasatkina...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment