Tuesday 5 July 2016

MIAMI HEAT: DWYANE WADE APEWA DEAL YA $40 MILIONI KWA MIAKA 2


Miami Heat wamempa ofa Dwyne Wade ya $40 milioni kwa miaka 2...Lakini inasemekana bado pande zote wanavutana kuhusu mkataba mpya...Heat wamefanikiwa kumchukua Hassan Whiteside kwa miaka 4 kwa $98 milioni...Walimkosa Kevin Durant ambae alihamia Golden State Warriors kwa mkataba wa miaka 2 kwa $54 milioni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment