Friday 22 July 2016

ANTHONY MARTIAL: MARTIAL NI MCHEZAJI MWENYE GHARAMA KWA WACHEZAJI WA UNDER 21


Wataalam wa kuchambua gharama ya mchezaji wamesema Anthony Martial ni mchezaji mwenye gharama ya juu kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 21...


Wataalam hani ni Soccerex.

Wachezaji wengine ambao wako kwenye list ni Marcus Rashford na Dele Alli.

Gharama ya Maartial ni milioni 40 Pounds na Dele Ali ni milioni 28 Pounds...


Wa pili kutoka Martial kwa gharama ni winger hatari sana wa Shalke, Leroy Sane,  mwenye gharama ya milioni 31 Pounds...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment