Wednesday 20 July 2016

MANCHESTER CITY: PEP NA TIMU YAKE IMEINGIA CHINA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA DORTMUND NA MANCHESTER UNITED


Pep Guardiola ameingia Germany akiwa na timu yake tayari kwa mechi ya kwanza kabisa akiwa kocha mpya wa Manchester City...


Pep atakutana na timu yake ya zamani ya Bayern Munich leo na badae watasafiri kwenda China...


Huko China watacheza na Manchester United Jumatatu katika mechi ya kirafiki huko China...


Baada ya hapo watakutana na Borussia Dortmund July 28...


Kelechi Iheanacho nae alikuwa ndani ya squad ingawa kulikuwa na utata wa kupata visa...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment