Sunday 24 July 2016

HULL CITY: STEVE BRUCE ATIMKA HULL CITY


Kocha wa timu ya Hull City ambayo imepanda daraja Steve Bruce ameamua kuondoka.


Hull City ambayo inauzwa imefanikiwa kupanda daraja chini ya uangalizi wa Bruce na sasa Bruce ametimka na kisa ni kutoelewana na Makamu Mwenyekiti Ehab Allam.

Bado haujafhamika ataenda wapi Steve Bruce ambae alishakuwa Captain wa Manchester United miaka ya nyuma na aliingia Hull City mwaka 2012 na kuipandisha daraja mwaka huu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment