Thursday 14 July 2016

ENGLAND: SUNDERLAND YAMRUHUSU ALLARDYCE KUONGEA NA FA KUHUSU TIMU YA TAIFA


Uongozi wa Sunderland umemruhusu Sam Allardyce kuongea na Football Association (FA) ya England kuhusu kazi ya kuifundisha timu ya taifa...Pamoja na hayou Sunderland wamesema bado wanamhitaji Allardyce kwa mipango ya club hiyo...England wanatafuta boss mpya wakuifundisha timu toka Roy Hodgson aondoke June 28...Allardyce ameonekana akitoka nyumbani kwa boss wa FA David Gill kwahiyo inaonyesha anaongoza kwenye mbio za kuwania nafasi hiyo kubwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment