Monday 4 July 2016

ARSENAL: ARSENAL YAKUBALI KUMCHUKUA FORWARD WA JAPAN


Arsenal FC imekubali kumchukua forward wa Japan,Takuma Asano, kutoka Sanfrecce Hiroshima...Uhamisho wa dogo mwenye umri wa miaka 21 utategemea ushari wa daktari na taratibu zingine za usajili...Arsene Wenger amesema Asano ni kijana mzuri uwanjani na tunataka kumkuza hapa Arsenal...Dogo alianza kuichezea timu ya taifa ya Japan kuanzia August 2015 na amecheza mara 5...


Anategemewa kucheza Rio Olympics hivi karibuni...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment