SEVILLA: FRAANCO VASQUEZ AINGIA VILLA HUKU RAIS WA ASEVILLA AWEKA DAU LA EURO 40 MILIONI KWA KEVIN GAMEIRO
Kevin Gameiro
Rais wa Sevilla, Jose Maria del Nido, amesema Kevin Gameiro hauzwi chini ya Euro 40 milioni huku PSG na Barcelona wakiwa wanamzengea...Gameiro mwenye umri wa miaka 29 ameifungia Sevilla mabao 29 msimu uliopita...
No comments:
Post a Comment