 |
| Kevin Gameiro |
Rais wa Sevilla, Jose Maria del Nido, amesema Kevin Gameiro hauzwi chini ya Euro 40 milioni huku PSG na Barcelona wakiwa wanamzengea...Gameiro mwenye umri wa miaka 29 ameifungia Sevilla mabao 29 msimu uliopita...
 |
| Franco Vasquez |
Sevilla pia imesema imesaini mkataba na sticker wa zamani wa Palermo Franco Vasquez...Bofya hapa upate habari zaidi