Thursday 28 July 2016

ARSENAL FC: ARSENAL WAJIWEKA SAWA KAMBINI NDANI YA SAN JOSE TAYARI KUCHEZA NA MLS-ALLSTARS

Wenger akiwa na Xhaka
Game ya kwanza ya pre-season Arsenal wakachuana na wakali wa MLS Marekani...


Arsenal iko kambini ikijifua na leo usiku itapambana na MLS-Allstars...


Arsenal walitumia uwanja wa Stanford University kujifua ipasavyo...


Wakali wa huko ni Didier Drogba, Andrea Pirlo na Kaka...


Beki wa kati ambae Arsene Wenger anamuamini Calum Chambers atakuwa ndani ya sqaud ya leo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment