Friday 1 July 2016

SHANGHAI SIPG: FORWARD WA BRAZIL AVUNJA REKODI YA USAJILI CHINA


Hulk ambae ni forward wa timu ya taifa ya Brazil amevunja rekodi ya usajili China...Hulk amesainiwa na timu ya Shanghai SIPG kwa Pounds milioni 46.1 kutoka Zenit St. Petersburg...Kocha wa Shanghai SIPG ni aliyekuwa kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson...Striker mwingine ambae yuko Shanghai ni Asamoah Gyan...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment