Sunday 10 July 2016

WIMBLEDON 2016: SERENA WILLIAMS AMEFANIKIWA KUMFIKIA STEFFI GRAF


Serena Williams amefanikiwa kufikia rekodi ya Steffi Graf ya Grand Slam 22 baada ya kumchapa Anjelique Kerber wa Germany 7-5 6-3...





Kerber ni namba 4 kwa ubora Germany na alimfunga Serena Australian Open mwanzo wa mwaka lakini hamuwezi kuhimili mapigo ya Serena kipindi hiki.



Pia Serena na Venus ambao ni dada walishinda mechi ya doubles...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment