Thursday 14 July 2016

FORBES MAGAZINE: DALLAS COWBOYS NI TIMU TAJIRI KULIKO ZOTE


Orodha ya timu 50 tajiri kiliko timu zote duniani inayotolewa kila mwaka na gazeti maarufu sana la Forbes imetoka...Katika orodha hiyo Dallas Cowboys ya nchini Marekani kwa mara ya kwanza timu ambayo sio ya mpira imeongoza orodha hiyo...Cowboys ni timu ya American Football ambayo makao yake ni Texas na inacheza kwenye ligi ya National Football League (NFL)...Mmiliki wa Cowboys Jerry Jones aliinunua Cowboys mwaka 1989 kwa $150 milioni na sasa ni club tajiri kuliko zote duniani...


Cowboys ina thamani ya $4 Bilioni wakifuatiwa na Real Madrid $3.65 Bilioni na wa 3 ni Barcelona na $3.55 Bilioni...Manchester United ni wa 5 wakiwa na thamani ya $3.32 Bilioni...Kumi bora ukitoa Manchester united ni timu za Marekani za Baseball, Basketball na American Football...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment