Thursday 14 July 2016

BOXING: MANNY PAQUIAO ANATAKA KURUDI ULINGONI ASEMA PROMOTER BOB ARUM


Promoter wa Manny Paquiao, Bob Arum, amesema Pac-Man anataka kutoka kwenye ustaafu na kurudi tena ulingoni...Siku ambazo atapigana ni kati ya october 29 au November 5...


Arum wa Top Rank amesema anajaribu kuona nafasi nzuri ambayo haiingiliani na masuala ya Pac-Man ya siasa na pia pambano liwe Las Vegas Marekani...


Ilikuwa azichape October 15 lakini kwakuwa Pac ni Senator inabidi apange Budget na kupiga kura kwahio pambano limesogezwa mbele...Bofya hapa upate habaro zaidi. 

No comments:

Post a Comment