Wednesday 20 July 2016

CHELSEA FC: ANTONIO CONTE ANAJARIBU KUMVUTA MORATA DARAJANI


Kocha Antonio Conte anamtaka sana striker wa Real Madrid, Alvaro Morata, aingie Chelsea...Conte anawasiliana kila siku na Morata ili kumshawishi aingie darajani...Morata leo ataenda kupata ushauri wa daktari na baada ya hapo atajiunga na wenzake Karim Benzima na Gareth Bale...Chelsea wako tayari kutoa Euro milioni 60 kumchukua Morata...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment