Saturday 30 July 2016

ROGERS CUP 2016: MONFILS AMEMTOA MKALI WA CANADA RIONIC


Gael Monfils  kutoka France amemchapa mkali wa tennis Canada Milos Rionic sets zote ndani jiji la Toronto...Monfils ni namba 14 ameonyesha uwezo wake kwa kumchapa namba 4 duniani Rionic 6-4 6-4...Djokovic nae alifanikiwa kumchapa Byrdych kwa shida....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment