Friday 8 July 2016

UFC 200: BINGWA WA ZAMAMI WA LIGHT HEAVYWEIGHT JON JONAS AFUTWA PAMBANO LA JUMAMOSI


Jon Jonas bingwa wa zamani wa uzito wa light heavyweight katika ngumi za UFC amefutwa katika pambano ambalo angepigana Jumamosi...Jones ilikuwa azichape na bingwa wa sasa wa light heavyweight Daniel Cormier...Kisa cha jinalake kutolewa ni kwamba alikuwatwa na madawa ya kuongeza nguvu mwilini na United States Anti-Doping Agency (USADA)...Jones anaweza kupinga lakini muda umekwisha kwa sasa labda badae...Uamuzi huo ulitangazwa Jumatano ndani ya MGM Grand na uongozi wa UFC...Bofya hapa uapte habari zaidi.

No comments:

Post a Comment