Saturday 2 July 2016

WIMBLEDON 2016: FEDERER AMSIMAMISHA DAN EVANS


Mkali Roger Federer amchapa Dan Evans seti zote ndani ya round ya 3 ya Wimbledon...Roger Federer ni mshindi mara 7 alifanikiwa kumtoa Evans kwa score ya 6-4 6-2 6-2...Sasa amebakia mchezaji mmoja tu kutoka England na huyo ni Andy Murray...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment