Sunday 24 July 2016

INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP: MANCHESTER UNITED YACHAPWA 4-1 NA DORTMUND


Manchester United imeonja uchungu wa kipido kutoka Borussia Dortmund...Man walichapwa 4-1...Dortmund walikuwa kwenye form nzuri sana kupita Man U wakati wachezaji nyota wa Dortmund hawakuwepo...Ulikuwa wakati wa wachezaji ambao sio nyota kuonyesha umahiti wao ili badae waweze kupata namba msimu ukianza...Jose Mourinho amekubali kuwa Dortmund wamejitayarisha mapema na wako safi ingawa amesema pia sio kuwa ni timu kali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment