Saturday 9 July 2016

LIVERPOOL: MAMADOU SAKHO HANA HATIA




Mamadou Sakho amekutwa hana hatia ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu...Sakho mwenye umri wa miaka 26 alifungiwa kucheza kwa muda wa Sikh 30 kwa kutumia kitu wanaita 'fat burner' au kitu cha kupunguza mafuta lakini wakagundua inaruhusiwa kutumia kwa kiasi...Sakho amesema amefurahi hana hatia na yuko tayari kurudi kwenye timu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment