Monday 4 July 2016

WIMBLEDON 2016: JO-WILFRED TSONGA ASHINDA MECHI KALI SANA ULIYOCHUKUA MASAA ZAIDI YA 4


Siku ya Jumapili huwa ni siku ya kupumzika lakini kwa Wimbledon waliamua wachezaji wacheze tennis kutokana na ratiba kuvurugika kwasababu ya mvua...Mvua ya England huwa haitabiriki kabisa na kwasababu hiyo mashabiki walipata show kali ambayo hawakutegemea...Jo-Wilfred Tsonga alimchapa John Isner kutoka Amerika katika mechi iliyochukua masaa 4 na dakika 24...


Set ya 5 ndiyo iliyokuwa kali kwani Tsonga alishinda set hiyo 19-17...Tsonga alishinda kwa score ya ujumlwa 6-7 (3-7) 7-6 (7-5) 6-2 19-17...Tsonga atakutana na Richard Gasquet round ya 4 Jumatatu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment