Friday 8 July 2016

CZECH REPUBLIC: PETR CECH AMESTAAFU MICHUANO YA KIMATAIFA


Kipa wa Arsenal na nchi ya Czech Republic, Petr Cech, amestaafu michuano ya kimataifa...Cech mwenye umri wa miaka 34 amechezea nchi yake mara 124...Alianza kuchezea timu ya taifa ya wakubwa mwaka 2002 na akaenda kuiwaakilisha nchi yake Euro 2004 na badae World Cup 2006...Euro 2008 aliisaidia timu yake akiwa kama Captain...Cech amemaliza msimu na Arsenal akiongoza kwa kuwa kipa mwenye clean sheet...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment