Friday 8 July 2016

MANCHESTER UNITED: PSG WAMEWARUHUSU MANCHESTER UNITED KUONGEA NA MATUIDI


PSG wamewaruhusu Manchester United kuongea na defensive midfielder, Blaise Matuidi, na msimamizi wake kuhusu mambo ya pesa na malipo mengine...Kwa hali kama hii inaonyesha Matuadi yuko njiani kwenda Old Trafford muda si mrefu...Jose Mourinho anataka kuimarisha safu ya nyuma na Matuidi atafaa kuziba pengo...Tetesi zinasema Jose anataka kumtoa Shweinsteiger kwani alishindwa kusaidia timu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment