Tuesday, 12 July 2016

EURO 2016: ANTOINE GRIEZMANN ATAJWA NA UEFA KUWA MCHEZAJI WA EURO 2016


Antoine Griezmann amekuwa mchezaji bora katika michuano iliyoisha hivi karibuni ya Euro 2016...Uefa wamemtunuku mchezaji bora wa mashindani kwahiyo anaongezea taji lingine baada ya kupewa Golden boot kwa kuongoza kwa mabao...Griezmann mwenye umri wa miaka 25 aliongoza kwa kufunga mabao 6...Griezmann ni striker wa Atletico Madrid...Bofya hapa upate habari zaidi.

2 comments: